Maelezo ya Fursa
Mwombaji wa kazi atakuwa na jukumu la kutekeleza yafuatayo:
-
Kupanda mazao mbalimbali kulingana na aina ya zao husika
-
Kuandaa mashimo au mistari ya kupandia kulingana na maelekezo yaliyotolewa
-
Kupima na kudumisha nafasi sahihi kati ya miche au mbegu
-
Kufunika mbegu au miche kwa udongo kwa usahihi
-
Kuhakikisha mbegu au miche inapandwa kwa kina kinachofaa
-
Kusaidia katika umwagiliaji wa awali baada ya kupanda
-
Kufanya kazi kwa kushirikiana na timu ya shamba
-
Kufanya kazi kulingana na ratiba na malengo ya shamba
-
Kutunza zana za kazi na kuhakikisha zinatumika kwa usalama
-
Kufuata maelekezo ya msimamizi wa shamba na kanuni za usalama kazini
Hali ya Ajira
biashara
Ujuzi
Eneo la Fursa
Njombe, Tanzania
Nafasi ya Kazi
10
Tarehe ya Mwisho ya Maombi: Jan 30, 2026
Taarifa za Kampuni
- Jina: Dida
- Barua Pepe: didadesign@gmail.com
- Anwani: Kinondoni
- Tovuti: https://dida.com
